Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Usimpende mwanaume kiasi kwamba na yeye mwanaume anajua.
Usimpe uhuru mwanaume afanye chochote kwenye mwili wako,lakini pia hata kwenye vitu vyako,hata kwenye hela zako.
Usithubutu kufunguka sana kuhusu mahusiano uliyo kuwa nayo kabla yake.
Usikubali kila wito wa mwanaume, na usiruhusu kufanya ngono kila atakapo...

"SISI WANAUME NI WA HOVYO SANA"

Pointi ya kwanza Si kweli...
Pointi ya pili Kweli nusu nusu
Pointi ya tatu Si/Ni kweli
.....

HITIMISHO LA HOVYO KABISA. Halina tofauti na lile la WANAUME NI MAMBWA [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna sentensi nimeielewa sana ndio maana[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Hakuna sentensi ya ukweli hata moja hapo. Yote ni relative na yanategemea experience ya mtu na mtu. Haya mambo siyo fizikia kwamba unaweza kuyaundia kanuni. Uelewe mzigo wako na ubebe kwa namna ambayo hautakuumiza kichwa na shingo yako. Vinginevyo utue...That's all [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Utajijuu na bado utalia sana hapo nyuma ya keyboard sijui screen ya simu.
Umeyataka mwenyewe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
852737580_83993.jpg
 
Back
Top Bottom