Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ni vizuri sana,mbebishe bhana.Safi. Jakitoo wangu yupo anabebika tu...
Hahahha nampa makavu huyo mzee alieshindwa kutulia na mhenga mwenzie.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hujaacha wivu tu jamani?
KakaYou may have to fight a battle more than once to win it.
- Margaret Thatcher
Ila nilimuambia ukirudi tu mimi na yeye basi.Kwa hiyo ukinihitaji amu availabo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha yaan nahisi carba alishakuchukua mazima.
umeandika vizuri kweli alafu umemaliza vibayaUsimpende mwanaume kiasi kwamba na yeye mwanaume anajua.
Usimpe uhuru mwanaume afanye chochote kwenye mwili wako,lakini pia hata kwenye vitu vyako,hata kwenye hela zako.
Usithubutu kufunguka sana kuhusu mahusiano uliyo kuwa nayo kabla yake.
Usikubali kila wito wa mwanaume, na usiruhusu kufanya ngono kila atakapo...
"SISI WANAUME NI WA HOVYO SANA"
Kumbeee[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] nsha changanya mambo tayari...Hivi wewe si ulipewa talaka?
Heeee[emoji134][emoji134][emoji134]Ila nilimuambia ukirudi tu mimi na yeye basi.Kwa hiyo ukinihitaji amu availabo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haya,niambie... Za kuadimika mama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umeandika vizuri kweli alafu umemaliza vibaya
Nani kasema sisi wanaume wahovyo? sisi ni wahovyo??? kabisa kabisa unasema sisi ni wahovyo??? eeh, hovyo?
Mhhh !!!Ni vizuri sana,mbebishe bhana.
Mabazazi wengi humu wasije mchukua
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu huko unakopitishia salaam broo ataniua...Habari ya leo nzuri shemeji. Kwema huko? Andjul hajambo?
Usiunge mkono kila kitu...Keshapiga jibapa mumeo...[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Itakua amekunywa balimi kwa mara ya kwanza, haiwezekan aseme sisi wanaume wa hovyo, alafu na msisitizo juu yaan "wahovyo SANA"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Imekuuma eeh??
Kwani uongo eti Dan??
Hahaaa!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu huko unakopitishia salaam broo ataniua...
Mungu ni mwema, maisha yanaenda. Kwema?
Asante kwa kuliona hilo. Mimi ni mwanaume lakini siyo wa hovyo !!!umeandika vizuri kweli alafu umemaliza vibaya
Nani kasema sisi wanaume wahovyo? sisi ni wahovyo??? kabisa kabisa unasema sisi ni wahovyo??? eeh, hovyo?