andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sorry brother[emoji120] [emoji120]umeandika vizuri kweli alafu umemaliza vibaya
Nani kasema sisi wanaume wahovyo? sisi ni wahovyo??? kabisa kabisa unasema sisi ni wahovyo??? eeh, hovyo?
Sijatumia neno "wote" kuepusha wale wastaarabu.
Lakini kama mwanaume kweli,yaani namaanisha mwanaume sio mvulana(andaeitini) unaanzaje kumfotoa mwanamke? Sawa,haina shida,labda mlitaka mshirikiane kuliangalia tunda kwa ukaribu wa pamoja. Nini kinakupelekea kuutangaza utupu wa mwenzio ambao ulitumika kuumeza utupu wako ili tu ubinjuke binjuke bila mpangilio na kuachia mananiii ambayo mdada wa watu wala hajaomba(?) maana anayajua madhara yake...
Samahani mkuu,kama upo na rafiki mwenye tabia hii,na utamjua tu stori zake,achana nae.
Laana zingine tunazitafuta wenyewe.