Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Usimpende mwanaume kiasi kwamba na yeye mwanaume anajua.
Usimpe uhuru mwanaume afanye chochote kwenye mwili wako,lakini pia hata kwenye vitu vyako,hata kwenye hela zako.
Usithubutu kufunguka sana kuhusu mahusiano uliyo kuwa nayo kabla yake.
Usikubali kila wito wa mwanaume, na usiruhusu kufanya ngono kila atakapo...

"SISI WANAUME NI WA HOVYO SANA"
Ushauri mzuri sana tatizo mapenzi ni upofu ukishapigwa na penzi zito baasi inakua uboya si uboya umburura si umburura tafrani tupu.
 
Madawa ya Kulevya - Aina na Athari zake kwa Mtumiaji

Tatizo la madawa ya kulevya limetokea kuwa janga kubwa duniani kote, watu wengi wameathirika na janga hili. jinsia zote wanaume, wanawake, na vilevile rika zote vijana na wazee pia.

Hapa tutaongelea aina mbili za madawa ya kulevya yaani Cocaine na Heroin.
 
Cocaine

Hutokana na majani ya mmea uitwao kitaalamu Erythroxylum coca bush.
Aina hii ya dawa ya kulevya hutolewa kwa mifumo ifuatayo

Unga ambapo mitaani hujulikana kama ‘coke’ na hutumika kwa kuvutwa puani kama unga, au kuyeyushwa na maji na kuchomwa kwenye mshipa wa damu
.
Crack ambapo mitaani hujulikana kwa jina hilohilo crack au rock, na hutengenezwa kwa kuchanganywa na kemikali. Na hutumika kwa kuvutwa kama sigara.
 
Cocaine pindi inapoingia kwenye damu huenda kwenye ubongo na kuzuia ufyonzwaji wa vihisishi vifuatavyo: dopamine, norepinephrine na serotonin, kutoka kwenye ubongo. Hivyo ubakia kwenye ubongo. Na vihisishi hivi husababisha ile hali ya furaha, mchangamfu na kujisikia mwenye nguvu kitaalamu euphoria. Na huweza kuwa kwenye hali hii kwa nusu saa tu.
Mara tu baada kutumia dawa hii dalili zifuatazo hutokea
 
Kwanini ufikirie alikubali kupigwa picha ya namna hiyo?
Kwanini usifikirie alipigwa bila kujijua?
Mwanamke siyo victim kwenye kila incident jamani. Kwenye ishu hizi mara nyingi mabinti ni willing participants. Wakichochewa na kulegea sawa sawa kama mlenda kupigwa picha hawaoni kama ni ishu kubwa. Na wengine wanafurahia na hata ku-initiate issue nzima. Sema tatizo na ukatili wa wanaume ni pale mahusiano yakivunjika wanazivujisha picha hizi za faragha mtandaoni. Kwa Trump hii inaitwa revenge porn na ni kosa la jinai katika majimbo mengi na ukivujisha picha za mtu faraghani unakula mvua tena za kutosha tu.

Siyo sahihi kuwalaumu wanaume pekee katika hii ishu. Siyo rahisi kihivyo na binti akiwa firm na kuweka wazi kuwa hataki kupigwa picha basi hakuna mwanaume ambaye atakurupuka tu. Unakuta watu tayari wameshatumiana nudes tayari na wakikutana wanaongezea zingine...
 
Mapafu na mfumo wa hewa - Uvutaji kupitia pua huweza kupelekea tatizo sugu la kutokwa damu puani kila wakati na mafua yasiyo pona, kupoteza mfumo wa harufu, na ikivutwa kama sigara kuharibu mapafu moja kwa moja.
 
Mfumo wa chakula - Cocaine husababisha kusinyaa kwa mishipa ya damu kwenye tumbo na utumbo hivyo kusababisha vidonda na kuweza kuharibu kabisa mfumo huu kwa utumbo kuoza.
 
Mafigo - kutokana na shinikizo la damu mafigo yanaweza kushindwa kufanya kazi vizuri, vilevile cocaine inaweza kuleta madahara moja kwa moja kwenye mafigo kitaalamu Rhabdomyolysis.
 
Back
Top Bottom