Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Silii bebi. Nawafurahisha hawa andaeitini wetu. Na wamefurahi kweli kweli.

Na siku ukiamua kuniacha angalau niache kimya kimya. Vinginevyo nitachekwa na kudhalilishwa sana [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakuachaje sasa na kwako ndio nimefika
 
245101165_188503.jpg
 
Mi nakoleza moto tu. Watalitambua mabinti. Mi nitajuaje? Si ajabu huko PM unawalilia mpaka unatia huruma. Kama nilivyosema jana, hakuna mwanaume rijali aliye mgumu mbele ya mbunye. Kimbia darasani ukafundishwe acha maneno mengi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
he he he he
 
Back
Top Bottom