Naona madame umeamua kurudia topic kwa msisitizo tuelewe.MBINU BORA ZA KILIMO CHA MBOGA : Mboga ni jina litumikalo kwa aina nyingi za mimea itumiwayo kama chakula au kwa kutowelea chakula kingine. Mboga ni moja ya vyakula muhimu kwa afya ya binadamu na zina wingi wa vitamin A, madini ya kalisium na chuma, pamoja na viini vingine ambavyo ni muhimu katika ujenzi na hifadhi ya miili yetu.
HahahahaNaona madame umeamua kurudia topic kwa msisitizo tuelewe.
NdioHuku ???πππ
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]KIDUMU CHAMA CHA WAGUMU