myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Amani na upendo
HahahhaBwahahahahaha!
😀😀😀😀😀
😀 😀 😀 😀 😀Pssst,
Tajiri wangu Pyro,
Mimi nakukubali wewe Bosi mtoto.
Nimewatia upofu, hawawezi ionaKama hii ni PM futa la sivyo utakula ban ndefu wakigundua umeileta huku
Haiya boss ake malcomNimewatia upofu, hawawezi iona
Hahahhaha!Haiya boss ake malcom
JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic. You are always welcome!
Kuna wakati gazeti la Kiu lilichapisha makala nzima nzima za kijasusi za The Bold. Mwenyewe alikuja kulalamika humu sana ila sidhani kama alipatiwa msaada wo wote. Baadaye hao Kiu nadhani walimlipa na alishauriwa kuwa makala hizo awe anaziwekea disclaimer kuwa ni mali yake na zisitumiwe nje ya JF bila ruhusa yake ya kimaandishi. Disclaimer hii ndiyo ingeweza angalau kumsaidia katika kupambana na plagiarists wa kazi zake. JF wenyewe nadhani wamekwepa jukumu hilo la kulinda contents za memba wake. Baadhi ya wanasheria pia walidai kuwa inakuwa vigumu kudai haki ya contents kisheria kwa sababu karibu kila mtu ni anonymous. Kwa hiyo, nijuavyo mimi, ukiweka kitu humu jua kuwa ni cha wote !!!Hivi Intellectual Property Policy ya JF inasemaje kuhusu umiliki wa Contents ambazo mtu anatuma ???
Kama mtu akituma kitu cha maana kinakuwa ni mali ya nani ??? Hatua gani zinachukuliwa endapo mtu atachukua na kukitumia nje ya mtandao wa JF kama kwenye habari za Magazetini ??