Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwendaaaaa...
Yaani nimekuwa msaada kwa majirani kuwanyamazisha watoto wao wanao lia hovyo.... Utasikia "nimwite baba fulani..." mma nanyamazaaaaa(mtoto anaitikia kwa uoga)...
Hahahaha umenikumba hapa mtaan kuna mbaba mkurya full ukali na fujo. Watoto wakileta ukorofi tu utasikia ntamuita muraaa wanatulia hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…