Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
Nambie[emoji1] [emoji1] we Pyaar ww
Nambie[emoji1] [emoji1] we Pyaar ww
[emoji124] [emoji124] [emoji124] nasubiri aanze carba
Upo?Nambie
Hahahaha hamna mie ntakausha tu ila ntakosa konfidensi ya kufunguka utumbo na mashudu humu maana ntaona kuna mtu ananisunta kiana kisa keshaonana namiNajua siku nitakapo onana na mtu humu siku hiyo hiyo nitafunguliwa uzi...
Watu tumebahatika kuwa na sura ya mbuzi kweli kweli...
Kusema ukweli wife ananikwaza sana akinisifia kuwa "mimi ni mzuri kati ya kundi la wanaume wazuri" wakati anajua fika hatuna picha ya pamoja kwa sababu ya "sura mbuzi".
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hebu mwaga upupu hapa watu wakimbie!![emoji1][emoji1]
Nipo mkuuUpo?
Ni kweli kabisa. Nimeona familia ya uzi huu wakikutana kwenye majukwaa mengine wanakuwa wapoleee....purukushani za mwanzo kabla ya uzi huu zimeisha kabisa.Hahahaha hamna mie ntakausha tu ila ntakosa konfidensi ya kufunguka utumbo na mashudu humu maana ntaona kuna mtu ananisunta kiana kisa keshaonana nami
Hata mi nakuonaNipo mkuu
Ni kweli kabisa. Nimeona familia ya uzi huu wakikutana kwenye majukwaa mengine wanakuwa wapoleee....purukushani za mwanzo kabla ya uzi huu zimeisha kabisa.