Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ikitumika kwenye nafaka, kamwe haidhibiti dumuzi. Uchanganyaji wa dawa ufanyike kwenye sakafu safi, turubai au gunia kubwa lililotandazwa chini. Iwapo uchanganyaji utafanyika nje ya nyumba, basi ufanyike wakati hakuna upepo. Tumia dawa kwa kiwango kilichoshauriwa na kuandikwa kwenye lebo au karatasi yenye maelekezo ya matumizi.