Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Usiku wa burudani



Usiku wa kupeana

IMG_20170624_111833.jpg
 
Najua siku nitakapo onana na mtu humu siku hiyo hiyo nitafunguliwa uzi...
Watu tumebahatika kuwa na sura ya mbuzi kweli kweli...
Kusema ukweli wife ananikwaza sana akinisifia kuwa "mimi ni mzuri kati ya kundi la wanaume wazuri" wakati anajua fika hatuna picha ya pamoja kwa sababu ya "sura mbuzi".
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
"Hatimaye nimekutana na andjul wa jf aiseh!jamaa ana......."

Sijui umewaza nini....

Ila shem mama hana kosa waswahili walisema "uzuri wa mtu uko machoni pa mtu"
Kwenye macho yake u mzuri kuliko wanaume wote.....
 
Najua siku nitakapo onana na mtu humu siku hiyo hiyo nitafunguliwa uzi...
Watu tumebahatika kuwa na sura ya mbuzi kweli kweli...
Kusema ukweli wife ananikwaza sana akinisifia kuwa "mimi ni mzuri kati ya kundi la wanaume wazuri" wakati anajua fika hatuna picha ya pamoja kwa sababu ya "sura mbuzi".
Acha tu hizi sura za GOAT hizi
 
Nimekuta leo na mzungu mmoja nimecheka balaa anakwambia maisha mafupi vuta sigara maisha marefu piga pumbu[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom