Kipa wa Atletico Madrid na Slovenia Jan Oblak amesema hana uhakika iwapo atasalia katika klabu hiyo msimu ujao. Arsenal wanataka sana mlindalango huyo wa miaka 25 ajiunge nao kuchukua nafasi ya Petr Cech, 35, atakapostaafu. (London Evening Standard)

Uje hivyo hivyo bila nini?Basi nitajitahidi kuja hivyo hivyo nami nikiviona tu naondoka zangu.
Lakini usalama upo???
Chinua Achebe ??Jamaa si anaishi USA
Akiwa zake huko hukoChinua Achebe ??
He passed away in 2013
Yeah i think Boston...Akiwa zake huko huko
Tatizo huu UGUMU huu, nafsi inatamani mwili unakataa daah ngoja wagumu wakiondoka nitakuja.Uje hivyo hivyo bila nini?
Salama salmini.
Kwema, nina safari ya Pluto hapo chap[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kijana wa Jupita kwema?
Kipa wa Chelsea kutoka Argentina Willy Caballero, 36, atasalia katika klabu hiyo hadi Juni 2019. Hata hivyo, kipa wao nambari wani Thibaut Courtois, 25, bado anaweza kuihama klabu hiyo. Courtois mkataba wake utafikia kikomo mwisho wa msimu. (Goal)