Yeaaah...!!
ile kusikia biti nikatamani nifanye verce,
Nikamcheki ngosha aka niambia simba mbona freshi,
Upesi upesi nikaandika in murder case,
Na sasa ngoma kitaani imenuka kama kinyesi,
Am smart young kabla chibu denga,
Enzi hizo naitwa domo siku hizi naitwa lips denda,
Naitwa tipha, mara naitwa baba Abdul Mara nillan eenhee kuna mambo mtaani,
Mzuka ukipanda kata viuno kama vanga,
Kwa hii biti ya kubanda inayobakwa na muuza Karanga,
Ukinichukia sikosi hela hivyo kwangu siyo kesi,
kunicompare na Cinderella haiwezi kuwa freshi,
Simbaaaaaaaaaa....!!
Toka mbuga ya tandale naona swala wanafooooosiiii tuwe sare sare viuno vidogo wanataka pesa pipi kali si walitaka kiti nina wapa hadi kitanda wa kalaleeee...
[emoji4] [emoji441] [emoji444] [emoji443] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji16] [emoji51]