Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Lazima wajiulize, mtu anayekuja kukata tiketi ya watu wawili au watatu na watu hao hawapo, hivyo wahakikishe wanakuja na vitambulisho vyao vyenye picha ili kujiridhisha kama majina yanafanana, watusaidie katika hili, wasiangalie maslahi ya kibiashara, waangalie maslahi ya taifa na usalama wa nchi”