Hahaha sitaki mbichi hizi hahah
Hakuna njia iliyofungwa,wamachinga waling'oa mageti ya wahindi wamebaki na msikit wao tu ila njia imejaa wamachiga hadi keroHivi ile njia ya kupitia kule Makoroboi ilishafunguliwa? Nasikia ilifungwa, ni kweli? [emoji1][emoji124][emoji124]