mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Kichwa kichafu yupo kule usihofu kula like kwanza na utoe likePia me nataman ila sina wa kunipokea
Likes humu jf huwa sieleBAADAE HIZO LIKES ZINAGEUKA BITCOIN AU TUTAZITOA KWA MPESA NINI??!!!
Pamoja mkuuUsihofu nitakusaidia kidogo ufunguke
Hapa kwanza ni mwendo wa like post chochote upate like toa like upate likePoa nasuburia muongozo
Huishi vituko weweKama utaona kwenye profile yangu nmeandika niko Dubai na baada ya muda ukakutana na mimi, basi tambua na wew uko Dubai!
Tusifanye mambo kuwa magumu!
Hahahaha si kwa madongo hayoUsidanganyike na mtoto wa shule huyo, mwezi July hauta muona humu atakuwa amenyang'anywa simu
Thread inasema comment chochote upate like kama nimekuudhi samahani sana mkuuElewa kuwa tunakwazana na kufurahishana kwa kutumia maandishi tu. Ukisema tununiane haitawezekana maana hatujuani na hatujawahi kuonana. Hapa ni sehemu ya kujifunza na kufurahishana tu
Mbona mapemaAmen. Usiku mwema mkuu
Lala wewe acha hizoSijui leo nisilale
Nikilala naota ndoto niko kibiti alafu nimevaa kiaskariLala wewe acha hizo