mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Jana watu wawili wameuliwa isije ikawa na yeyeAlienda Kibiti juzi mpaka leo kimya. Hali ni tete!
Jana watu wawili wameuliwa isije ikawa na yeyeAlienda Kibiti juzi mpaka leo kimya. Hali ni tete!
Ungesoma mchezo wa Andjul alipo ishia then ungejua cha kifanyaWee ngoja jombaa ndo utashangaa nguvu ya mawe ya Mererani ikoje.
Sawa, haina shidansamakaa....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Nimemsikia sanaaa, tena mnashirikiana nae kuniangamizaAndjul hivi unajua huyo uniq anakuzungumza vibaya sana mbele za watu?
Utalinywa mwaka huuNshaona, nimelikoroga mwenyewe
Pia me nataman ila sina wa kunipokeaNenda kakae kibiti mkuu hata sisi tunatamani ukakae huko[emoji24] [emoji16]
[emoji55] [emoji55] [emoji55] [emoji55] [emoji55] [emoji55],Sawa, haina shida
Nimejitahidi sana kumlinda, na umemkuta salama, si ndio?Kwahiyo ulikuwa mlinzi???
Huwezi kushindana na makomandoo magaidi kwa likes mkuu. Tutateketezwa!TWENDENI KIBITI TUKAOKOE JAHAZI VYOMBO VYETU VYA USALAMA VIMEELEMEWA!
Usihofu nitakusaidia kidogo ufungukeNatakujua mambo mengi kule lakini sijui nafanyaje capital ipo ya kutosha sasa jinsi ya kuioperate kwangu ndio shida
Pamoja mkuuNakabwa shingo natakiwa nilale bila kupoteza mda wakuu,
Kesho nayo ni siku,
Tuombeane uzima ili kesho tuwe pamoja!
Heshima kwenu nyote,
Nawapenda.
Siwezi nsamaka, ni kupitiwa tuAnataka kunitekeleza mzee wa makinikia.
Poa nasuburia muongozoWakongwe tupo tutakuongoza
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mtongozo na likes..
Yap mapenzi yalikuwapo tangu zamani za kaleHahahahaha....cha msingi likes tu