myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mtongozo na likes..
Yalah,ww nimekuita sana halafu ukawa hata hautaki kuitika.Mama unaadimika sana hadi nimeingia majaribuni. Kwanini unanitesa hivyo?
Aaaaaa wapi...sigusiki kabisaaaaMuulizeni kichwa kichafu alianza hivi hivi,
Akaja buzi tata nae haonekani hapa sababu ni hiyo,
Anaefuatia ni andjul nae naelekea kumfutilia mbali.
Nilikuambia weww bwana mdogo sana kwangu. Lala ukueNakabwa shingo natakiwa nilale bila kupoteza mda wakuu,
Kesho nayo ni siku,
Tuombeane uzima ili kesho tuwe pamoja!
Heshima kwenu nyote,
Nawapenda.
Ulale poa, salaam huko....Nakabwa shingo natakiwa nilale bila kupoteza mda wakuu,
Kesho nayo ni siku,
Tuombeane uzima ili kesho tuwe pamoja!
Heshima kwenu nyote,
Nawapenda.
Hahahahaha....cha msingi likes tuLikes na mapenzi na mtongozo juu..
Anajipendekeza kwa Babe S sio kuwa kashikwaNimekusaka sana,naona baby s amekushika kisawasawa.
[emoji55] [emoji55] [emoji55]Mama unaadimika sana hadi nimeingia majaribuni. Kwanini unanitesa hivyo?
Hapana hapana, akichwale kale ni katoto kaliniomba nikavushe darajani. Usihofu kabisa. Una shida na shilingi ngapi?Nakuona tu, kumbe ulihamia kwa baby s tena?
Tatu bilaaaaaMama unaadimika sana hadi nimeingia majaribuni. Kwanini unanitesa hivyo?
Hahahah tu milioni tutano tu baba.Hapana hapana, akichwale kale ni katoto kaliniomba nikavushe darajani. Usihofu kabisa. Una shida na shilingi ngapi?
Hahahahahah...dah...kweli nimeaminiHapana hapana, akichwale kale ni katoto kaliniomba nikavushe darajani. Usihofu kabisa. Una shida na shilingi ngapi?
Yap!Hahahahaha....cha msingi likes tu
KabisaaaaUsingizi ulianza kuninyemelea nauamulu ushindwe mara moja.
Kemea mkuu kemea. Hii vita ya likes haijawahi kumuacha mtu salama [emoji23][emoji23][emoji23]Usingizi ulianza kuninyemelea nauamulu ushindwe mara moja.
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Hapana hapana, akichwale kale ni katoto kaliniomba nikavushe darajani. Usihofu kabisa. Una shida na shilingi ngapi?
Kulikoni tena? Mwenyewe nimerudi.Hahahahahah...dah...kweli nimeamini
Bebi wake Nsamaka si kaja hapo juu anamtafuta. Ni chalii au kajitoa mwenyewe? [emoji23][emoji23][emoji23]Mpaka sasa Andjul chalii