Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Haya bana. Good luck!Ngoja nipige forex kwanza ntarudi
Haya bana. Good luck!Ngoja nipige forex kwanza ntarudi
Chalii yangu ya Arusha. Hapa sio hela Tanga mapenzi ndipo yalipo zaliwa.Naona mnatangazia watu vita tuu hapa ya kugombania bebez.....sasa mimi ntakua wa mwisho kutangaza na nimeshatenga fungu la kutosha.Labda mniloge maana nikiingia vitani hakika kuna watu hawatabakia salama.
HahahahaTumeshinda nawe kuanzia asubuhi lini umetoka?
Hahahah niachieni baby wangu jamani.Bebi wake Nsamaka si kaja hapo juu anamtafuta. Ni chalii au kajitoa mwenyewe? [emoji23][emoji23][emoji23]
Dah!! Rana ya hapa unatongaza hata Mzee!!! Bila kujua.. Wote mabebez...Naona mnatangazia watu vita tuu hapa ya kugombania bebez.....sasa mimi ntakua wa mwisho kutangaza na nimeshatenga fungu la kutosha.Labda mniloge maana nikiingia vitani hakika kuna watu hawatabakia salama.
Mkuu mi simo katika kinyang'anyiro hiki [emoji23][emoji23][emoji23]Sana, wasiliana na SHIMBA YA BUYENZE
Pambana na ndoa yako akija kwangu tena na msusha bu........sh.........aKulikoni tena? Mwenyewe nimerudi.
You are fire, I mean hot !Fire
Yarabi toba,niachie baby wangu.Pambana na ndoa yako akija kwangu tena na msusha bu........sh.........a
Babe S utafanya mijibaba itoane roho kudadadeki. Fanya uamuzi mapema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Liambie,muda wote ubabe ubabe tu.babe S mwenyewe hana nongwa na mtu
Na yeye aniachie Babe S wanguuYarabi toba,niachie baby wangu.
Ah si chochote...... Nilikua nasema tu[emoji5] [emoji12] [emoji6]Kulikoni tena? Mwenyewe nimerudi.
Muungwana sana. Unaona kauli yake hiyo?andjul........
Keshamrudisha muda mrefuNa yeye aniachie Babe S wanguu
Afanye marangapiBabe S utafanya mijibaba itoane roho kudadadeki. Fanya uamuzi mapema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee wa forex embu tupeana Hint's kidogo Niko moto sana na hiyo issueMkuu jiamini dhahabu inasakwa na watu wote.
Hahahahaha, uamuzi unazidi kujifanya wenyewe, kumbe wengine wana wao....lol!!Babe S utafanya mijibaba itoane roho kudadadeki. Fanya uamuzi mapema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tukae vizuri tuUmesemaaa???