babe S
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 3,879
- 20,859
Hahahaah we umefuata ushauri wa nan...!??babe S mwenyewe mbona sio mwelewa. Kashikiria ushauri wa Angaza "ukishindwa baki na mmoja" ubaki na mmoja(uniq),babaako huyo?
Hahahaah we umefuata ushauri wa nan...!??babe S mwenyewe mbona sio mwelewa. Kashikiria ushauri wa Angaza "ukishindwa baki na mmoja" ubaki na mmoja(uniq),babaako huyo?
Usiku mwema piaUcku mwema
..........siwaamini hata tena....ahahahaPole ndio maana nimekupa moyo wangu tulia nami mama.twende tukalale
Hahahaaaa, habari ya majukumu mkuu. Ahsante tumefurahi pamojaHahahah tu milioni tutano tu baba.
PoaUsiku mwema pia
Mkuu mharibifu sana wewe[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Hahahaahhahhhhahhahah
Nimecheka sana
Chezea kukbatia ngumi ukiwa Arusha au njombe kipindi hiki....
Unaassume au ni kweliAtakua me
Wallaaa nsamaka hana ugomvi na mtuAh si chochote...... Nilikua nasema tu[emoji5] [emoji12] [emoji6]
Ahsante, najiandaaTukae vizuri tu
Hahahaaaa mkuu usimtishe mtotoUngeingia cha kike, aha ha ha ha ha
Ungekula vyangu bila hata shidaKidogo tu nimwamini......ahahahahah
Mkuu kwa busara kabisaaaa nimeamua kujisogeza pembeniIt's official. Andjul is out [emoji23][emoji23][emoji23]
Nipo huku nyuma natwanga likeHahahaha...kwa kweli....sijui ndo kaenda na kulala au kabebwa na mmiliki...