myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Hii ndio Afrika...Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amesema ameshtushwa na taarifa kuwa vyama vya siasa 112 vimesajiliwa kushiriki uchaguzi mkuu wa nchi hiyo. Amesema hivi karibuni ataagiza uchunguzi ufanyike ili kubaini uhalali wa kusajili vyama hivyo.
Mh!Hahaah si kisukuma jaman
Kanogewa na madarakaKaanza...
KabisaHii ndio Afrika...