Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Joshua anaamini kuwa ndiye bondia namba moja wa uzito wajuu duniani na uwepo wake unafanya kuwepo na uhai kwa watu wa kariba yake.
Sina hofu na wale wanao nizunguka,nina uhakika na kazi yangu na wote ninawakaribisha na hicho ndiyo kitu pekee ninachoweza kusema.
Mpaka atakapopigana na kumshinda huyu Mmarekani mweusi hakuna atakayemwamini...