Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

438810191_369926.jpg
 
JOKATE ATUMBULIWA UVCCM : Kamati ya Utekelezaji ya Umoja wa Vijana wa CCM imetengua uteuzi wa Kaimu Katibu wa Hamasa na Chipukizi-UVCCM Taifa, Jokate U. Mwegelo kuanzia leo Machi 25, 2018 - Kamati hiyo ilikutana kwa dharura leo mchana chini ya Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana CCM Ndugu. Kheri Denis James - Sababu za kutengua uteuzi huo bado hazijawekwa wazi.
 
Back
Top Bottom