Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,589
- 28,759
Aksanteeeh
Wafikiri wakati wote mtu hukubali kupigwa??Kwa nini ukubali kupigwa?
njoo nikuoesawa ntaolewa
Nilipatia angalau kidogo hapo juu? Angalau nijue kwanza kabla sijaendelea...Hahahhaha! Elewa basi na hii.
uongoooTeali
Karibu..Hongera
Kidumu chama cha wagumu
Bora ma cos na sin
Mie nahisi hii ni kwa wale wanawake wakifika Kibo wanakuwa kama hawana fahamu..Maana kama una ufahamu na akili zipo sawa huwezi mkubalia kufanya hvyo.Kwa nini ukubali kupigwa?
Ndiyo. Vinginevyo hiyo ni relationship hatarishi na mtu wa hivyo anaweza hata kukubaka, kukupiga na hata kukuua...Wafikiri wakati wote mtu hukubali kupigwa??
Kazi wanayo wajipende kwanza wao nasi ndo tutawapenda hovyoEti wanafanya haya ili wapendeze zaidi tuwapende...sad !!!
Yupo hapa kajipumzisha. Una shida gani? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jakitoo sikuoni, sikuoni....
Tena usiku wa kunyimana likes lakiniUsiku unakua mkubwa