Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkutano wa hivi karibuni kufanyika ni ule wa kundi jipya la mawaziri baada ya mabadiliko mapema mwezi huu.
Ni sawa na mkutano wa mwisho wa baraza la mawaziri ,2015 ambao ulifanyika mara tu baada ya mabadilliko.
Wakati huo kulikuwa na uvumi kwamba rais Biya atatangaza iwapo atagombea urais katika uchaguzi wa mwaka huu, ili kuongoza muhula mwengine lakini hakutoa ishara kuhusu swala hilo.
Licha ya kwamba barazo la mawaziri lilikuwa muhimu.
 
19a5e297f4afed73441d95cb57e8390d.jpg
 
Maswala ya Lugha.
Kwa zaidi ya mwaka mmoja , jimbo la raia wanaozungumza lugha ya Kiingereza nchini Ufaransa kaskazini magharibi na kusini magharibi limezongwa na mgogoro.
Hii ilianza kama maandamano ya mawakili na walimu wakitaka lugha ya Kiingereza kupewa fursa ya kutumika.
 
Lakini wasiwasi ulizuka, na kusababisha makabiliano kati ya vikosi vya usalama ,kukatwa kwa mtandao kwa takriban siku 93 katika jimbo la raia wanaozungumza Kiingereza nchini humo huku watu wanaojitenga wakipigania jimbo lao la 'Ambazonia' huku kukiwa na idadi kubwa ya vifo kutoka pande zote mbili.
Serikali ilichukua hatua kuangazia swala hilo lakini hali bado inaonekana kuwa hatari.
 
Mataifa ya Uingereza na Ufaransa yametaka kufanyika kwa mazungumzo. Rais Biya alijibu kwa kuunda baraza jipya la mawaziri tarehe 2 Machi .
Udhabiti wa usalama na amani uliimarishwa kupitia uundaji wa wizara ya ugatuzi ikitoa ahadi ya kuleta maendeleo mashinani mbali na huduma kwa raia.
 
Alitumia baraza hilo lisilo la kawaida ili kuonyesha anavyowaunga mkono mawaziri wake mbali na kutumna mpango kuhusu uthabiti wa usalama katika eneo lenye utata la raia wanaozungumza Kiingereza , lakini pia kugatua mamlaka ili kuwapatia raia uwezo wa kusimamia maswala yao.
 
[emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445]
Bebi
Kuwa nami wakati sina
Leo sina kitu, kesho ntafanikiwa, mmm...
Na nikibarikiwa
Ahadi yangu ni sitasahau mahali nimetoka na weh

Only you babe
Only you babe
You're my only one
My only one[emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445]

Hapa sisi wagumu huwa tunapita tumefumba macho! Ukiyakodolea macho hayo maandishi yanaweza kukuondolea ugumu wako! [emoji1][emoji41][emoji41]
 
Alitumia baraza hilo lisilo la kawaida ili kuonyesha anavyowaunga mkono mawaziri wake mbali na kutumna mpango kuhusu uthabiti wa usalama katika eneo lenye utata la raia wanaozungumza Kiingereza , lakini pia kugatua mamlaka ili kuwapatia raia uwezo wa kusimamia maswala yao.
 
Back
Top Bottom