Nataka niwaambie hizi NGO na wote mnaosikia, ndani ya utawala wangu kama Rais, hakuna mwenye mimba atakayerudi shuleni, amechagua maisha hayo ya mtoto akalee vizuri mtoto, hata kama amepata kwa bahati mbaya, yako mambo mengi ya kufanya, anaweza akaenda veta, anaweza akaanza kilimo, lakini ukishazaa warant ya kwenda shule za msingi au sekondari ni marufuku". - Rais John Pombe Magufuli.