Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 16,353
- 22,963
Kwa nyimbo hizi watu mnakumbuka mbali aiseeh [emoji120] [emoji122][Verse 2]
Mwenzenu nalala chini, mke wange kitandani
Nikilala kitandani, kila mtu shuka lake
Mwenzenu nalala chini, mke wange kitandani
Nikilala kitandani basi ujue mzungu-wa-nne
Nikiuliza kwanini, anasema amenipa likizo eh
Nikiuliza kwanini, anasema amenipa likizo eh
Sio kama napenda, imenilazimu
Sio kama napenda, ananilazimisha yo
Mwenzenu naosha vyombo, mwenzenu napiga deki
Mzee mzima napika, jamani nafua nguo
Sio kama napenda, nalazimishwa mimi
Sio kama napenda, nalazimishwa mimi
[Bridge]
Uliniacha na mtoto wangu mdogo Vanessa eh
Miaka inakwenda, siku zinarudi mimi na Vanessa eh
Wewe utakuja nikumbuka
Wewe utakuja niuliza
Gigigi mapenzi na wewe sasa yamekwisha
Usinijue jue, usinitambue
Oh chunga nyumba na mama Vanessa eh
Oho chunga nyumba na mama Vanessa eh
Fadena mapambano yo
Haswa like kwa kwenda mbeleusipite ukapost bila likes ili wewe upate likes
Mko poa!
Haswa like kwa kwenda mbele
Kwa nyimbo hizi watu mnakumbuka mbali aiseeh [emoji120] [emoji122]
Haha sawa boss.. Mwaga likes
toa likes upate likes.. ndio mtindo wa hapa
usipite ukapost bila likes ili wewe upate likes
gonga likes upate likes
likes page hizo
Chorus] x2
Awe mama wee, ingekuwa ungefanyaje?
(Awe mama wee, ingekuwa ungefanyaje?)
Awe mama wewe, uwe ungefanyaje?
(Awe mama wee, ingekuwa ungefanyaje?)
[Outro]
Mke wangu mwanajeshi, mwenzenu nafua gwanda
Nikileta ubishi, ananipiga mashuti
Jana kaniambia eti nimsindikize gesti
Ila nimsubiri kwa nje eti anaenda kuongea mambo ya business
Ameenda kugombana na mashoga zake
Halafu ananiambia eti mi niende nikasute
Leo kanifukuza chumbani eti nitoke nje
Kisa anavaa nisije nikamchungulia
[Verse 2]
Mwenzenu nalala chini, mke wange kitandani
Nikilala kitandani, kila mtu shuka lake
Mwenzenu nalala chini, mke wange kitandani
Nikilala kitandani basi ujue mzungu-wa-nne
Nikiuliza kwanini, anasema amenipa likizo eh
Nikiuliza kwanini, anasema amenipa likizo eh
Sio kama napenda, imenilazimu
Sio kama napenda, ananilazimisha yo
Mwenzenu naosha vyombo, mwenzenu napiga deki
Mzee mzima napika, jamani nafua nguo
Sio kama napenda, nalazimishwa mimi
Sio kama napenda, nalazimishwa mimi
[Bridge]
Uliniacha na mtoto wangu mdogo Vanessa eh
Miaka inakwenda, siku zinarudi mimi na Vanessa eh
Wewe utakuja nikumbuka
Wewe utakuja niuliza
Gigigi mapenzi na wewe sasa yamekwisha
Usinijue jue, usinitambue
Oh chunga nyumba na mama Vanessa eh
Oho chunga nyumba na mama Vanessa eh
Fadena mapambano yo
MUME BWEGE lyrics by Bushoke
[Verse 1]
Nilikuwa na mpenzi wangu, nani asiyemjua
Mtoto kaumbika, utasema malaika
Miezi kadhaa ikasogea, mtoto wa kwanza tukazaa
Mtoto katoka mwarabu, swali lilikosa jibu
Akasema we hujui, mtoto kafata kwa babu
Nikaguna guna pale mzee, nikauchuna
Mtoto wa pili tukazaa, huyu wa sasa mchina, duh!
Nikasema mama vipi, mbona mi sielewi!
Akasema we hujui, huyu kafata kwa bibi
Mzee naibiwa, mzee naonewa
[Chorus] x2
Awe mama wee, ingekuwa ungefanyaje?
(Awe mama wee, ingekuwa ungefanyaje?)
Awe mama wewe, uwe ungefanyaje?
(Awe mama wee, ingekuwa ungefanyaje?)
Dunia Tuna Pita (Extended Version) ♪
kila kitu ufanyayo lazima yapitie kwa waganga badilisha hiyo
tabia eehh
kila kitu ufanyayo lazima yapitie kwa waganga badilisha hiyo
tabia eeh
pesa zako hupatia kina dada watafuta jina ama vipi
pesa zako hupatia kina dada watafuta jina ama vipi
wake za watu hutongoza imejulikanaa
jihadhari utaishia shimo la tewa
wake za watu hutongoza imejulikanaa jihadhari utaishia shimo
la tewa
waongea kujenga ghorofa na huna kitu eeh acha mdomo na
maringo kakaa
dunia tunapita eeehh kila kitu kitabakiaa binadamu ni
mchangaa kitabaki milele ni milimaa
dunia tunapita eehh majivuno ni ya nini
siku nyingine tene,, tuiombee nchi amani
Mida y kaz
Kumekucha