Hauja niudhi popote mkuu, nadhani hukunielewa tu. Sisi ni familia ya upendo, haifai kukwazana. Habari ya asubuhi wakuu.Thread inasema comment chochote upate like kama nimekuudhi samahani sana mkuu
Morning, kula like kwa Busara dogo. Hapa ni upendo tu. Hakuna majungu, hakuna umbea, hakuna figisu figisu zaidi ya hizi unazo nifanyia.Hauja niudhi popote mkuu, nadhani hukunielewa tu. Sisi ni familia ya upendo, haifai kukwazana. Habari ya asubuhi wakuu.
AMUN RAIt's a new sunrise full of blessings
AMUN RAThe end of old circle and the beginning of new circle
AMUN RAAs it was at the beginning so it shall be at the end
AMUN RAMwenye Enzi Mungu bariki kizazi changu
AMUN RAMwenye Enzi Mungu ibariki nchi yangu Tanzania