AMUN RAMwenye Enzi Mungu ibariki nchi yetu Tanzania na watu wake! Atjaze hekima, ufahamu na busara pamoja na utajiri tele! AMUN RA
Mambo yazidi kujipa!Hauja niudhi popote mkuu, nadhani hukunielewa tu. Sisi ni familia ya upendo, haifai kukwazana. Habari ya asubuhi wakuu.
AMUN RAAisee! Naipenda Lake Victoria! Napenda sana sana maji!
AmenHope kila mtu ameamka salama na sasa anajianda kwenda kupambana na majukumu.
Naomba tusisahau kumshukuru Mungu kwa kutupa siku nyingine.
Ulingoni kwanzaMorning, kula like kwa Busara dogo. Hapa ni upendo tu. Hakuna majungu, hakuna umbea, hakuna figisu figisu zaidi ya hizi unazo nifanyia.
Yupo hakuna shida Gonga likes kwanzaJembekillo
Sikuelewi kabisaaaaa, au ndio unajivunia kwa ingine hizi like.. ila unakuwaga online pia...vipeeee?
Nimekuja tayari kwa kutoa likes za asbhmzee wa liver upoooo?
AMUN RA my QueenSafi sana huyu kiumbe kwa kweli! Totally generous person!
YapKabisaaaaaa
Upo likizo naomba chukua muda kidogo soma haya mambo utazidi kuelimika pata like kwanzaNdio nimeanza kuelewa hayo maneno... ni Amina?
Na kwakoAsbuh njm
Morning[emoji713]orning
Na kwako mkuuPongezi kwa wote mlioamka mapema kuwahi like za morning
AMUN RAView attachment 532315
Ni beyond powers! The hidden light, earth, wind, water, fire, wood and steel, ether
AMUN RAHope kila mtu ameamka salama na sasa anajianda kwenda kupambana na majukumu.
Naomba tusisahau kumshukuru Mungu kwa kutupa siku nyingine.