Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[Verse 2]
Mwenzenu nalala chini, mke wange kitandani
Nikilala kitandani, kila mtu shuka lake
Mwenzenu nalala chini, mke wange kitandani
Nikilala kitandani basi ujue mzungu-wa-nne
Nikiuliza kwanini, anasema amenipa likizo eh
Nikiuliza kwanini, anasema amenipa likizo eh
Sio kama napenda, imenilazimu
Sio kama napenda, ananilazimisha yo
Mwenzenu naosha vyombo, mwenzenu napiga deki
Mzee mzima napika, jamani nafua nguo
Sio kama napenda, nalazimishwa mimi
Sio kama napenda, nalazimishwa mimi

[Bridge]
Uliniacha na mtoto wangu mdogo Vanessa eh
Miaka inakwenda, siku zinarudi mimi na Vanessa eh
Wewe utakuja nikumbuka
Wewe utakuja niuliza
Gigigi mapenzi na wewe sasa yamekwisha
Usinijue jue, usinitambue
Oh chunga nyumba na mama Vanessa eh
Oho chunga nyumba na mama Vanessa eh
Fadena mapambano yo
Chukua like kwanza nitasoma baadaye
 
Morning, kula like kwa Busara dogo. Hapa ni upendo tu. Hakuna majungu, hakuna umbea, hakuna figisu figisu zaidi ya hizi unazo nifanyia.
Hahahaaaa, mkuu usiniharibie siku nina idadi kubwa ya watu wananiangalia. Tutapambana jioni, muhimu nimeamkia nilipo lalia. Wote nimewabofya na like. Good morning brothers and sisters tena na tena
 
Back
Top Bottom