mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Ni nini tenaUPENDO SI UPENDO TENA
Ni nini tenaUPENDO SI UPENDO TENA
Hila yanauaMANENO SIO BUNDUKI
Hahahaha yupo huyu mtuMada ya "Pimbi" wa mwenzetu hii jamani tukaisome na kuichangia ...
Hivi Kuna Mwanamke Ambaye Hajui Kupika?
[emoji2] [emoji2]Ukiwa na hela...azawaisi usumbufu tu (kwa wanaume lakini). Kwenu wanawake ndo pengine utaanza kuitwa MILF na viandaeitini...
Song of okol & lawinoOkol and lawino
Wote tunaujua mtandao wa facebook na wengi wetu tunazo akaunti zaidi ya moja kwenye mtandao huo, lakini na uhakika mambo haya ulikua huyajui. Basi kama kawaida ya kila jumapili tuko hapa kukujuza mambo kama haya ambayo ulikua uyajui… let’s goo!
Aaah weee mtu moyo tu unachemba mbili sembuse ubongo wa kutunza lugha zote hizo bagesh yaisheeeeeee
Chinue achebeThings fall apart
Mara ya Kwanza Facebook Ilikuwa Inaitwa Facemash
Mwanzoni mgunduzi wa facebook Mark Zuckerberg akiwa mwaka wa pili wa chuo alitengeneza tovuti aliyo ipa jina la Facemash, tovuti hii ambayo baadae ndio ilikuwa facebook ilikuwa maalum kwaajili ya wanafunzi wa chuo cha Harvard ambapo ilikua ikiruhusu wanafunzi kulinganisha picha za wanafunzi wa wawili na kuchagua yupi anae vutia zaidi.
Unaweza Kuingia kwenye Tovuti ya Facebook kwa Haraka Hivi..
Faceboo inayo njia nyingi sana za kuingia kwenye tovuti yake lakini njia rahisi sana kama unataka kuingia kwenye tovuti ya facebook kwenye kompyuta basi rahisi kabisa unaweza kuandika fb.com
Akili imekujahapo pagumu kop.....lets wait and see ila ukubwa dawa I hope mtatoboa
Ukurasa Wenye Like Nyingi Kwenye Facebook
Ukurasa wenye like nyingi facebook ni ukurasa unaoitwa Facebook for Every Phone ukurasa huo una like zaidi ya 495,624,193 na ndio ukurasa wenye like nyingi ukifuatiwa na ukurasa wa Facebook yenyewe wenye like zaidi ya 190,220,342 na nafasi ya tatu ikiwa kwenye ukurasa wa Youtube wenye Like zaidi ya 82,928,416.