Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hahahahaa!Mbona mumekimbia? Si tumesema leo tunakesha?
Kumekuchaaaaaaa
Hujambo tabhani?
Polee kaka, nimerudi sasa.Yaani nimetafunwa na mbu hapa kuwasubiri kumbe ushalala mbele! [emoji57]
VizuriSijambo sinawani! [emoji1]
Aaaah. wapi! Mie nipo huku jijini G.mboshi..Sema nimeamka kumfukuza fisi hapa mlangoni kwangu...kanipotezea usingizi aisee..Hafai.Mambo niaje, mbona mapema? Au na wewe uko kwa Planet Pluto?
Mambo ni poa aiseeMambo niaje, mbona mapema? Au na wewe uko kwa Planet Pluto?
Aaaah. wapi! Mie nipo huku jijini G.mboshi..Sema nimeamka kumfukuza fisi hapa mlangoni kwangu...kanipotezea usingizi aisee..Hafai.
Sifugi mbwa, ila nashangaa wanatafuta nini.Unafuga mbwa? Make fisi wanapenda sana kuwavizia mbwa! [emoji1]
Sifugi mbwa, ila nashangaa wanatafuta nini.