Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bwana Oulagbo sio mtu pekee kuweka wazi hofu yake, kundi jipya la utetezi wa raia 'Citizen's Action Against Non-Negro Citizenship and Land Ownership' limejipanga kupambana na mipango ya Rais.
Kila nchi imejengwa kwa misingi maalumu, kama ukii shusha thamani misingi hiyo nchi lazima iyumbe, kiongozi wa kundi hilo Fubbi Henries ameiambia BBC.
 
Anaongeza kuwa Bwana Weah anatakiwa kushughulikia sera sahihi kwa wa Liberia.
"Tunahitaji kuweka biashara zetu sawa, sekta ya elimu na kilimo na si uraia au umiliki wa ardhi kwa watu weupe" amesema.
Licha ya utajiri wake wa mali asili, linapo kuja swala la wastani wa mapato kwa kila mtu Liberia ni nchi ya 225 kati ya 228 ambapo kwa mwaka 2017 pekee mtu mmoja alipata dola za kimarekani 900 tu.
 
Hata hivyo asilimia tatu ya pato la taifa la Liberia inatokana na wale wanaoishi nje ya nchi - na baadhi ya familia hutegemea fedha kutoka Marekani.
Lakini Bwana Weah anashutumiwa kwa kutoitathimini vyema hali hiyo anasema liberia ina hali mbaya kiuchumi na yeye anakwenda kutatua hilo.
 
Baada ya miaka mingi ya vita vya kiraia na mlipuko wa ugonjwa wa Ebola mwaka 2014 ahadi za George Weah zimekuwa kama muziki masikioni mwa raia wa Liberia.
Kubadilishwa kwa sheria sasa ni sawa na kumweka mtoto wa miaka miwili na mtu wa miaka 45 katika ulingo wa ngumi kuona kama wanaweza pigana kwa haki. Anasema Fubbi Henries kiongozi wa kundi la kiraia.
Anasisitiza kuwa lazima mtoto wa miaka miwili ataonewa hivyo basi wa Liberia bado hawana nguvu hiyo.
 
[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Usiku mwema Mkuu! Leo na mimi mpaka nipate mtu wa kunifukuza! Najua sitapata, acha nikeshe tu; hakuna namna! [emoji1]
 
Usiku mwema Mkuu! Leo na mimi mpaka nipate mtu wa kunifukuza! Najua sitapata, acha nikeshe tu; hakuna namna! [emoji1]
Numbisa, hata kujifanya unanifukuza nikalale hakuna dah! Nilikuwa nimezoeshwa vibaya. Maisha haya we acha tu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
images(2).jpg
maxresdefault.jpg
 
Back
Top Bottom