myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Umeona eehhhh?Wamekuja haraka na viposti posti vya kijinga na kuzoea kwa lazima..
Kila anaeposti ujinga...Wakina nani hao?,
Naomben Radhi Wana Jukwaa Nimefanya Makosa Kama Binadam Naomben Samahan Na Nimechukua Jukum La Kuzifuta Picha Zote Zenye UkakasiBure kabisa wanatafuta sifa tu wakidhan watasifiwa hapa wanaboa kweli
Kweli kabisa
Utapimwa kwa posti zako...Numbisa Na Member Wengine Samahanin Kwa Kosa Nililotenda