Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jiwe
1520017412277.jpg
 
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imezindua utoaji wa vitambulisho maalumu vya wafanyabiashara wadogo wasio kwenye sekta rasmi wakiwamo machinga.

Taarifa ya Kamishna Mkuu wa TRA, Charles Kichere imesema hatua hiyo inatokana na marekebisho ya Sheria ya Usimamizi wa Kodi ya mwaka 2015, katika kuwatambua na kuwapa vitambulisho hivyo wafanyabiashara wadogo.
 
Mwanza. Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la John Mtemi (23) amejinyonga baada ya kumuua mke wake Casta Edward kwa kumchoma na kitu chenye ncha kali sehemu mbalimbali za mwili wake.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Ahmed Msangi amesema tukio hilo lilitokea Machi 26 saa sita mchana katika Kijiji Mahaha, Kata ya Shishani wilayani Magu.
 
Back
Top Bottom