[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji121] [emoji121] [emoji121]Wanawake msiringe sana kuna siku baba yako atakubadilisha na ng'ombe
Kazi njemaHahahaaaa, mkuu usiniharibie siku nina idadi kubwa ya watu wananiangalia. Tutapambana jioni, muhimu nimeamkia nilipo lalia. Wote nimewabofya na like. Good morning brothers and sisters tena na tena
Like likekama kawaida hawakosekani,
toa likes ili upate likes
Fresh my dear moudgulfISIS mambo
Yap nakuelewa sanaMimi ni Dar es Salaam the city itself!
Astala vista.
Thanks dearYap nakuelewa sana
Bado yupo kibitiKichwa kichafu heshima kwako kiongozi
Ahsante,nawe pia mkuuKazi njema
Nawe chukua like kwa uelewa mkubwa wa haya mamboThot mtoa baraka! Pata baraka na likes kwa kulitambua hilo