Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hakiki muda wa mwisho wa pasi yako ya kusafiria
Kama una pasi ya kusafiria, hakikisha muda wake wa matumizi haujakaribia kwisha. Hakikisha pia kurasa zilizo wazi hazijakaribia kwisha.
Kumbuka kuwa baadhi ya nchi haziruhusu watu kuingia au kutoka kwa kutumia pasi za kusafiria zilizobakiza muda wa miezi 6 kuisha muda wake.