Tafiti kuhusu hali ya hewa
Hebu fikiri unaenda kwenye nchi ya baridi kali bila nguo za kujikinga na baridi; je huoni kuwa utapata shida?
Hakikisha unafahamu vyema hali ya hewa ya eneo unalokwenda kama ni ya joto, baridi, mvua, upepo, barafu n.k. Kwa njia hii utaweza kujiandaa na kuchukua tahadhari stahiki mapema.