Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mpenzi wa zamani wa mwanamuziki Diamond Platnumz, Zari The Boss Lady ametua nchini kwa ajili ya kusaini mkataba wa ubalozi wa Kampuni ya Kedz Tanzania inayojihusisha na utengenezaji wa pampasi.

Katika mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika leo Jumatano katika Hoteli ya New Africa jijini Dar es Salaam, Zari ambaye ni mama wa watoto watano amesema anashukuru kupata mkataba na kampuni hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…