mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Kwa kweli na wanchi wote, tukae na amani na upendo! Hekima na busara vitawale nchi yetu milele yote!Twaombee viongozi wetu
Asante sanaTutataona baadaye wapendwa wangu
AMUN RAMuwe na siku njema
Naona ajabu bibi wewe kwa vitendo unavyotenda
Unapenda pesa mimi mwenyewe kweli hunitaki
Hapo zamani nilikua mjinga
Kila utakacho oooh ninakupa
Lakini sasa nimekwisha gutuka,sitazitoa oooh pesa zangu......
Gejo nae unamtaka mtu wewe hatari.GeJo upo