Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bc2rHF8D61S.jpg
 
Anza zoezi hili kwa mambo madogo madogo kama kula chakula. Unajua siku hizi watu hata hawafurahii tena hata ladha za vyakula kwa sababu akili zao hazipo kwenye chakula wanachokula. Mtu anakula huku yupo kwenye mitandao ya kijamii, hivyo zoezi zima la kula linakuwa kama kitu cha kupita tu. Hivyo anza kuweka uwepo wako kiakili kwenye zoezi kama la kula, na fikiria kile chakula unachokula, tafuna vizuri, sikia kila ladha ya kilichopo kwenye chakula.
 
Na hapa siyo lazima kiwe chakula cha kipekee sana, hata kama ni ugali maharage, ukila kwa uwepo wa kiakili, utafurahia kuliko hata anayekula chakula kinachoonekana ni cha maana zaidi lakini hali kwa uwepo kiakili.
 
Back
Top Bottom