Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Asante sana mkuu. Msalimie sana huyo dadangu na wapwa zangu. Mwambie kwamba siku nikitia mguu hapo Kibamba lugha pekee ni Kikoromije. Ikibidi aanze kujifunza pole pole. Barikiweni sana na Mungu Aendelee kudumisha ndoa yenu [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Ni maneno yenye kuimarisha afya ya ndoa.
"Heshima na thamani ya ndoa inatokana na ndoa yenye thamani"
Ndoa yenye thamani hupatikana kwa kuheshimiana na kuthaminiana.
Mungu akubariki sana Shimba ya Buyenze[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] umenikumbusha mengi, tumefurahi kwa maandiko uliyo yaleta,maana tumeyasoma kwa kujadiliana.Tunakuombea kwa Mungu azidi kukuimarisha kiimani.Amen[emoji120]
Umepotea sana. Kwema huko pwani?Jamani hamjambo humus
Jamani hamjambo humus
Jakitoo huyu hapa amelala kwa amani ya ajabu. Nimwamshe msalimiane?Salaam jakitoo
Leo hii Ya pili kwangu sijui ni nn