Hahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hauna maana.
Mkuu tunashinda hapa vibanda vya air wing njia panda ya dunia kukusubiria.Nipo na carba, Numbisa atafika siku ya tukio...
Tatizo akina james delicious wamezid,watu wanaharibu watoto wa kiume wakiwa wadogo kwa wakubwa