Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kama unapaswa kulipa deni, na kuna mazingira yanayokuzuia kutunza kipato chako kwa matumizi mabaya, acha. Kama unapenda ueshimiwe ishi kiustaarabu na heshimu na wengine. Kama unataka usome na ufaulu kwa maksi nzuri basi ondoa uvivu, matumizi mabaya ya wakati, soma kwa bidii na fanya unalopaswa kufanya ili ufanikiwe mpango wako.