Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

445413025_239786.jpg
 
Jifunze meditation na kutazama pumzi.

Kila wakati na hata hapa ulipo unapumua, lakini ni mara chache sana katika maisha yako umeweza kuweka akili yako kwenye pumzi yako. Unapoweka akili kwenye pumzi unapunguza mawazo yaliyo kwenywe akili.
 
Akili muda wote inashikiliwa na mawazo, akili inayoshikiliwa na mawazo muda wote ni taabu sana kuiongoza, inakuwa rahisi kushikiliwa na mawazo, hisia na hasira. Unapojifunza kuweka akili yako kwenye pumzi, unapohesabu pumzi inayoingia na kutoka taaratibu, unapoweka akili yako sehemu moja unapunguza mawazo mengine ambayo yanazunguka kichwani na kukufanya uwe huru kwa kuwa na mawazo machache.
 
Sawasawa na meditation, ukiweza kutafuta muda wa kumeditate utajikuta unakuwa mzuri katika kufanya maamuzi na kuwa na furaha na kukubaliana na changamoto.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sawasawa na meditation, ukiweza kutafuta muda wa kumeditate utajikuta unakuwa mzuri katika kufanya maamuzi na kuwa na furaha na kukubaliana na changamoto.
 
Back
Top Bottom