Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nawaza mahubiri ya mapadri mbali mbali katika sala za kesho nchini za hii Ijumaa Kuu. Naomba sana waendeleze kauli yao kwamba Makanisa HAYATAZIBWA MDOMO katika kupambana na udhalimu na dhuluma za kutisha nchini.
 
Watu watano wamekufa na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya basi moja kati ya manane yaliyokuwa yakisafirisha wakimbizi kutoka kambi ya Nduta wilayani Kibondo mkoani Kigoma kuelekea nchini Burundi kupinduka.

Ajali hiyo imetokea leo Machi 29,2018 katika Kijiji cha Kasharazi wilayani Ngara mkoani Kagera saa 10:00 jioni.
 
Taarifa zinasema ajali imetokea eneo la K9 lenye mteremko na kona kali baada ya kupata hitilafu ya mfumo wa breki na kisha kuligonga lingine lililokuwa mbele na baadaye kupinduka.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Agustino Olomi akizungumzia ajali hiyo amesema miili ya waliofariki dunia bado haijatambuliwa pamoja na idadi ya majeruhi.
 
Amesema waliofariki dunia ni wanawake watatu na wanaume wawili. Kati yao yupo mkazi wa Kasharazi aliyekuwa akiendesha baiskeli ambaye basi lilimwangukia.

Mmoja kati ya madereva waliokuwa katika msafara huo, Raymond Revocatus amesema kila basi lilikuwa na wastani wa abiria 65.
 
Baadhi ya majeruhi wamepelekwa katika Hospitali ya Murugwanza wilayani Ngara kwa matibabu.
 
Zlatan Ibrahimovic bado anahamu ya kutaka kuendelea kucheza soka ndiyo sababu ya kujiunga na Los Angeles Galaxy ukiwa ni mwendelezo wake wa maisha ya soka yaliyomfanya awe amecheza klabu tisa katika nchi saba duniani.
 
Baada ya kuumia goti mwishoni mwa msimu uliopita, Ibrahimovic ameshindwa kurudi katika ubora wake katika kikosi cha Manchester United na kuamua kwenda kujaribu bahati yake katika MLS.
 
Ninafuraha kucheza katika moja ya timu bora Marekani, najisikia faraja, hapa ndiyo sehemu nzuri kwangu," alisema Zlaran.

"Nipo tayari kwa changamoto mpya, kuna mengi ya kufanya hapa napenda kushinda mataji. Nahitaji kucheza."
 
Katika maisha yake ya soka hadi sasa amecheza mechi 730, na kufunga mabao 421 na kutwaa mataji 31 akiwa katika klabu za Malmo, Ajax, Juventus, Inter, Barcelona, Milan, PSG na Man United.

Malmo na Juventus pekee ndipo aliposhindwa kutwaa mataji ya Ligi Kuu, akiwa Turin alitwaa ubingwa wa ligi 2005 na 2006, lakini klabu hiyo ilivuliwa ubingwa kutokana na kashfa ya Calciopoli iliyosababisha timu hiyo kushushwa daraja.
 
Ibrahimovic hajawai kutwaa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, lakini ni miongoni mwa wachezaji watau waliocheza katika klabu saba tofauti wengine ni Carew na Mutu, ndiyo wachezaji pekee waliocheza katika klabu saba tofauti barani Ulaya.
 
Zlatan anashikiria rekodi ya kutwaa mataji ya Ligi Kuu 13, katika ligi nne tofauti pia amefanikiwa kufunga katika mechi za watani wa jadi kama Derby della Madonnina kati ya Milan na Inter, Clasico kati Real Madrid na Barcelona na Manchester derby kati Man United dhidi ya Man City
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…