Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ila nasikia kitovu kikidondokea kwenye dhakari halafu hakuna mwingine aliyeona zaidi ya mama/ atakae kuwa na mtoto, na ikawa siri yake asiseme kwa watu wengine mtoto akikua dhakari inapiga kazi kama kawaida.

Hiyo ya mdogo mtu kuingia himaya ya kakake nilijua inaishia kwenye kurithi tu mke (Nyakyusa) baada ya mume kufariki, kumbe hata kaka/mdogo mtu anapopata matatizo anasaidiwa!
Upendo ulioje.
Ni afadhali ya mumo kwa mumo ndani ya ukoo kuliko aende akazalishwe huko nje...Safi sana !!!
 
kibonzo%2012%20and%2013%20julai%202012.jpg
 
Back
Top Bottom