Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hapa nilipo mimi nipo kitandani
Starehe zimeniweka
matatani
Kupona tena mimi haiwezekani
Masela wangu ndugu zangu
buriani

Kwaherini kwaherini
Kwaherini
Pyaar wa madongo kuinama kwaherini,
Numbisa wa Nyakato
kwaherini
Aaaah aaaah aaaah

Saa 7 juu ya alama saa nikiitazama
Nimeshaachana na Jaq sasa namfuata Salama
Saa 12 nina appointment na mademu wawili
Achana na yule ambaye tutakutana saa 2
Jeni wa Mikocheni ambaye sasa hayupo duniani
Aliyekuwa akinisubiri pale Vatcan kijiweni,
Amina na Semeni tutakutana Itilima kila siku kubadilisha tena kwa foleni.

Danpol
--------------->mistari uliyoomba hiyo hapo.
<---------------------
 
Uko bomba kwenye kupanga mistari ya mashairi. Hongera sana Pyaar. Usiku mwema na njozi njema.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…