Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

JUISI YA UKWAJU

MATAYARISHO

1.andaa maji kwenye dishi na uoshe kidogo tuu 2.baada ya kuuosha chukua ukwaju wako weka kwenye sufuria yenye maji ya saizi na injika jikoni 3.uache uchemke hasa hata kwa dakika 10/15 ili uuwe vijidudu 4.ipua ukwaju wako jikoni na uache kwa muda upoe 5.andaa maji yako masafi na chujio ili uweze kuchuja juice yako kwa uangalifu zaidi ili upate juice yenyewe. 6.weka sukari kwa kiasi unachopendelea pia ili kupunguza ukali unaweza ukaweka hiliki/vanila au ndimu ili kupata taste 7.weka juice yako kwenye fridge ili ipoe tayari kwa kunywa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…