mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Tumshukuru Mwenye Enzi Mungu kwa kuiona Siku hii ya leo
Na kwako piaHeri ya Pasaka wandugu
Vitawale daimaAmani na upendo
Asbh imewadiaUsiku unakua mkubwa
Asbh ya kupeana upendo wa likesUsiku wa kupeana upendo
Hahahahaha dickheadHahahahaha lol! Wazungu na majina yao. Nishawahi kukutana na cockhead na dickhead huwa najizuia sana nisiangushe kicheko LoL!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28], hijawahi sikia pussyhead?
Du hatari kweliLabda wivu. Halafu huyo mdada naona alikuwa London kitambo, kafanya kumvuta jamaa kutoka Bongo Dec mwaka jana. Kumbe ndio alikuwa anamvuta muuwaji wake!
HahahahahaHaya majina haya! [emoji15] Kwani nayo ina head? [emoji23][emoji23]
Sijaona hii wacha nifuatilie busy na EPL JanaNi hatari Mkuu! Huyo dada ni mtu wa A-town! Wanajaribu kuchangisha ili wamlete home kwa mazishi!
Hata wabotswana nao na wasauzi mhhhMajina matamu yapo kwa Wajapani tu. Kama yule balozi wao kwetu aliyekuwa akiitwa Kumamoto
Amun RaMaisha haya jamani tumuombe Mungu sana.Mitihani haiepukiki.Tuombeee sana
ImewadiaJumapili ya pasaka
Na kwako mkuuPasaka njema
AminaMungu atupe afya na uzima